Mobi Groups
Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com

mrimbeni
Create Your Own App Store

Star mrimbeni
UHURU WA MTU KUTENDA JAMBO FULANI KTK KZ

Group Founder: mrijomvu
Description: utakuta kijana kaajiriwa na kampuni,serikalini,au mtu binafsi. anafanya kazi vema hata boss anafaham hilo. Lakini ajabu hakuna hata nafasi ya kupumua ktk shughuli ile mpaka mtu unajuta kwanini uliingia pale.na jambolingine kuhisi kuibiwa mali kituambacho si6 kweli .Hapo ndipo mambo hubadilika.Jamani kijana apewe uhuru wa wastani huku ukimpa mwenendo wa kimaisha ktk kaz.Vijana tuache udokozi ktk makampuni au kwa watu binafsi.
Group Type: Public join
Members: 8
Category: Technology, Internet & Wireless > Programming Languages

Topics (2)

go CADEMA CHAMA MAKINI KWA WATANZ (3) mrimbeni
CHADEMA CHAMA AMBACHO HAKINA UFISAD WOWOTE. Tofauti na chama tawala .chama cha chadema kina viongoz makini ambao wako mstari wa mbele kutetea maslah ya wanyonge. Kauli mbiu ya chama makini CHAMA CHA C...

go UCHAGUZI MWAKA 2010 TANZANIA (1) mrijomvu
jamani hapa tanzanza panashangaza ktk upigaji wa kura .mgombea urais anapogombea kweli utamuo ni mwema sana lakini akishapata Urais Hakika wananchi mtalia Mtajuta kwanini tulimpa kura zetu. JAMANI IFI...

Photos (7)

1 2 3 4 5 6 7

Files (3)

1 jamaa kauza kuruka
2 kunamambo mengene inakubid ucheke 2 hata km huna hamu ya kucheka
3 ful

Polls (2)

go tazama yalivyo mema ndugu kukaa pamoja,kwa amani na upendo kwa ajili Ya jina lako 2kufu .
go tazama yalivyo mema ndugu kukaa pamoja,kwa amani na upendo kwa ajili Ya jina lako 2kufu .

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Create Your Own App Store